1 Corinthians 12:3-4

3 aKwa hiyo nawaambieni ya kuwa hakuna mtu anayeongozwa na Roho wa Mungu anayeweza kusema, “Isa na alaaniwe.” Pia hakuna mtu awezaye kusema, “Isa ni Bwana,” isipokuwa ameongozwa na Roho Mtakatifu.

4 bKuna aina mbalimbali za karama, lakini Roho ni yule yule.
Copyright information for SwhKC